Mabingwa wa Ligi Kuu ya England Leicester City wamekubaliana na CSKA Moscow kumsajili mshambuliaji kutoka Nigeria Ahmed Musa. Hii ni kwa mujibu wa wakala wa mchezaji huyo. Musa, 23, alijiunga na CSKA mwaka 2012 na kupachika mabao 54 katika mechi 168. BBC Sport inasema Leicester 'wamevunja benki' katika ada ya kumsajili mchezaji huyo. BBC Sport pia inasema Musa alikataa kwenda Southampton, Everton na West Ham. Kocha wa CSKA Moscow Leonid Slusky amekiri kuwa Mnigeria huyo ambaye anaweza kucheza kama winga au mshambuliaji wa kati, anaondoka Urusi.
BREAKING NEWS
-
Nucleated rural settlement Advantages More interaction with people. Safer as there are more people. Can share ideas on how to solve a p...
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
SOMA ZAIDI HAPA
-
Nucleated rural settlement Advantages More interaction with people. Safer as there are more people. Can share ideas on how to solve a p...
-
Image caption Taban Deng Gai Maafisa wa serikali ya Sudan Kusini wameiambia BBC kwamba wanamtambua waziri wa madini Taban Deng Gai kuwa ...
-
Im Madaktari nchini India wamepandikiza pua mpya katika uso wa mvulana wa miaka 12 iliokuwa imemea katika paa lake la uso. Pua ...
-
Image caption Mosul Iraq Viongozi wawili wakuu wa kundi la kigaidi la Islamic State waliuawa katika mashambulizi ya angani...

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni