BREAKING NEWS

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Profesa abeba mtoto mgongoni. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Profesa abeba mtoto mgongoni. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 2 Julai 2016

Profesa aliyebeba mtoto mgongoni apata sifa




Image captionProfessor Honore Kahi
Profesa mmoja wa chuo kikuu amesifiwa pakubwa nchini Ivory Coast kwa kumbeba mtoto wa mmoja wa wanafunzi wake mgongoni wakati wa masomo.
Picha za Honore Kahi wa chuo cha Bouake, zimesambaa pakubwa kwenye mitandao ya kijamii.
Alisema aliamua kumsaidia mwanamke katika darasa lake wakati mtoto alianza kulia.
Picha zilizochukuliwa na mwanafunzi mwingine zinamuonyesha, bwana Kahi akifunza huku mtoto akiwa mgongoni.

SOMA ZAIDI HAPA