#EURO2016 - #NEWS Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ujerumani#MarioGomez Ameondolewa Kwenye Kikosi cha Timu hiyo Ya Ujerumani Baada ya Kupata Majeraha Ya Misuli Ya Nyuma ya Paja Kwenye Mchezo wa Hapo Jana dhidi ya Italia , hivyo Ataikosa Michezo Itakayofuata Ya Euro inayoendelea kutimua vumbi huko
Nasasa Timu Hiyo Imetinga Hatua ya Nusu Fainal

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni