Shule 10 zilizofanya vizuri: 1.Kisimiri,-Arusha 2.Feza Boys,-Dar es Salaam 3.Alliance Girls,-Mwanza 4. Feza Girls,-Dar es Salaam 5. Ma...
Jumanne, 31 Mei 2016
PICHA 6:Kutoka kwenye Mgomo wa Wanafunzi Chuo Kikuu cha UDSM
Ni Mei 31, 2016 ambapo Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameingia kwenye headlines za kufanya mgomo wa kudai fedha za kujikimu katika matumizi yao ya kila siku.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni