Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Kamishna wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernesti Mangu kumpandisha cheo askari wa Usalama barabarani ambaye alitukanwa na Mke wa Waziri wakati akitekeleza majukumu yake ya kikazi.
Rais ameyasema hayo wakati akifungua Kikao cha Makamanda wa Polisi wa Mikoa. Aidha Rais Dr. Magufuli amesema ameshamuonya Waziri huo ambaye mke wake amemtukana askari wa Usalama Barabarani.
Wakati akitoa agizo hilo, rais amesema hakuna kiongozi au familia ya kiongozi iliyoko juu ya sheria.
Chanzo: TBC1
BREAKING NEWS
-
N MKOA NAMBA YA SHULE JINA LA SHULE JINSI JINA 1 GEITA S1164 MISSUNGWI SECONDARY SCHOOL F ...
Jumamosi, 30 Aprili 2016
APANDISHWA CHEO KWA KUTUKANWA NA MKE WA WAZIRI
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
SOMA ZAIDI HAPA
-
N MKOA NAMBA YA SHULE JINA LA SHULE JINSI JINA 1 GEITA S1164 MISSUNGWI SECONDARY SCHOOL F ...
-
Maandamano yalianza Burundi Aprili mwaka jana Mahakama ya rufaa nchini Burundi imewahukumu washtakiwa 21 vifungo vya maisha jela baada ya ...
-
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Zakaria Benjamini mkazi wa Tungi Manispaa ya M...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni