Leo tarehe 3 julai Waziri Mkuu wa zamani Mh. Edward N Lowassa alikua moja wa wageni waalikwa sambamba na Rais wa Jamuhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta, katika tukio kubwa la kumuwekea wakfu Askofu wa jimbo kuu la kanisa la Anglikana Kenya, Askofu Dr. Jackson Nasoore Ole Sapit iliyo fanyika kwenye kanisa la "All Saints Cathedral Nairobi".
BREAKING NEWS
-
Shule 10 zilizofanya vizuri: 1.Kisimiri,-Arusha 2.Feza Boys,-Dar es Salaam 3.Alliance Girls,-Mwanza 4. Feza Girls,-Dar es Salaam 5. Ma...
-
N MKOA NAMBA YA SHULE JINA LA SHULE JINSI JINA 1 GEITA S1164 MISSUNGWI SECONDARY SCHOOL F ...
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
SOMA ZAIDI HAPA
-
Shule 10 zilizofanya vizuri: 1.Kisimiri,-Arusha 2.Feza Boys,-Dar es Salaam 3.Alliance Girls,-Mwanza 4. Feza Girls,-Dar es Salaam 5. Ma...
-
N MKOA NAMBA YA SHULE JINA LA SHULE JINSI JINA 1 GEITA S1164 MISSUNGWI SECONDARY SCHOOL F ...
-
TANZIA: Mwigizaji wa comedy Mohammed Abdallah maarufu "Kinyambe" amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya mkoa wa ...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni