Alhamisi, 7 Julai 2016

DIRA TV

DIRA TV: Hujambo, Je, kama mzazi, ni mbinu zipi unaweza kutumia kuhakikisha mtoto wako wa kike/binti anamaliza masomo yake bila kupata vishawishi vya kumkwamisha?
Jipige video ukieleza mbinu unazoweza kutumia. Tutumie video hiyo kupitia WhatsApp nambari +254712640787.
Baadhi ya video zitatumiwa kwenye kipindi cha Dira ya Dunia TV.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

SOMA ZAIDI HAPA